ASIA IDAROUS KHAMSIN MAMA WA MITINDO TANZANIA ASHINDA TUZO YA LIFE TIME ACHIVEMENT SWAHILI FASHION WEEK 2014

Kutoka Swahili  fashion week Tanzania jukwaa pekee linalotoa tuzao kwa tasnia ya mitindo na urembo Tanzania limemzawadia Asia idarous khamsini ambaye alistahili kupata tuzo hiyo kwani ametumikia tasnia hiyo zaidi ya miaka thelethini na tano (35) amefanya maonesho ya mitindo zaidi ya 150 Tanzania na nje ya Tanzania na bado jamii inamuhitaji katika ulimwengu wa mitindo. Tunampongeza sana dada Asia mama wa mitindo kwa kupokea tuzo hiyo.
Ameaibua vipaji vingi vya ubunifu wa mitindo Tanzania na bado vipaji vinaendelea kuchipuka kupitia kwa Asia Idarous Mama wa mitindo.Tazama picha kwa matukio zaidi.


















RED CARPET & KHANGA PARTY 2014

 PHOTOTOGRAPHY:
 EVENT : RED CARPET & KHANGA PARTY 2014

Red carpet & Khanga party imefanyika katika ukumbi wa safari carnival mikocheni B karibu na daraja la Kawe siku ya tarehe 29/11/2014 ikiwa imeandaliwa na Asya Khamsini kutoka FABAK FASHION, ni usiku ambao ulikuwa uki li enzi vazi la kanga,. tukio hili lisindikizwa wasanii wa taarabu  wa hapa nchini ambao ni spice modern taarab bila mkusahau mama wa mipasho Khadija kopa. tazama picha kwa matukio zaidi.