Showing posts with label LADY IN RED. Show all posts
Showing posts with label LADY IN RED. Show all posts

LADY IN RED 2014

PHOTOGRAPHY :  JUSTINE KAZAURA
  


THEME : MAVAZI YA ASIA 2014
 Sasa muda uliokuwa ukisubiliwa ndo huu, kwanza stage ilipendeza!, pili warembo walivutia  na kuzitendea haki nguo za wabunifu wao nawapongezeni kwa hilo........... kwa kuakadilia  mavazi ya Asia yalikuawa  kama ishirini hivi... na yote yamependeza hakika! wewe tu jionee na uniachie maoni!















Na show yetu imeishia hapo napebda kuto shukrani zangu kwa daa Asia kutokana na ukarimu wake aliounesha kwetu  cha zaidi endelea kuangalia blog yetu  kwa habari zaidi


NGUO ZA WABUNIFU

PHOTOGRAPHY : JUSTINE KAZAURA

Basi  baada ya wbunifu chipukizi kumaliza wakati wao huu ndio wakati wa wazoefu au wenye "experince" katika swala zima la ubunifu wa mavazi  ndio wana chukua nafasi sina usemi juu ya hili we mwenyewe jionee ni kiasi gani uwezo walio nao

design by Mustapha Asanal

Design by Diana Magesa

Design by Gablier
Design by Salim Ali

design by Paka wear 
design by Leo paul
Leo paul


Leo  Paul 

design by Martin Kadinda

Single button by Martin Kadinda

CHIPUKIZI

PHOTOGRAPHY : JUSTINE KAZAURA

mambo yanazidi kupamba moto tu ndani ya Serena Hotel wabunifu chipukizi nao wana nafasi yao....





 Machipukizi nao katika ulimwengu wa ubunifu nao walipewa nafasi kuonesha uwezo wa ubunifu

UTANGULIZI

PHOTOGRAPHY : JUSTINE KAZAURA
Asia akito utambulisho

MC wetu wa leo jion

miss lady in red

vyeti vikitolewa kwa wadhamin

Michuzi media nao walikuwepo
ufunguzi

MAUA

PHOTOGRAPHY : JUSTINE KAZAURA

SEGMENT : kupeana Mauwa
Siku yenyewe inajielezea ni wapendanao na ndo maana tupo kwenye tukiona kama la leo! hapa mama yetu Asia akigawa maua kwa wageni wake! inapendeza sana!
Asia akimgawia ua Miss Tanzania 2012


Asia akitabsamu na wenzake

raha ya kupendwa hiyo!

RED CARPERT moment

PHOTOGRAPHY : JUSTINE KAZAURA

SEGMENT : RED CARPERT ( zuria jekundu)

Basi na huu ni muda watu wanaingia kupiga picha ! ni pozi mbali mbali kwa watu tofauti tofauti! hebu angalia......

pozi limetulia!

all red everything!

Nirvana hiyoooo!

Maria na Asia

kama mama kama mtoto!

LADY IN RED 10th ANNIVERSARY 2014

PHOTOGRAPHY: JUSTINE KAZAURA
 EVENT : LADY IN RED 10th anniversary 

Kwanza Happy "Valentine's day" leo tupo Serena Hotel ofcoz Event bado haijaanza ila nimeona nikujuze kinachoendelea mpaka sasa hivi na hizi ni baadhi yab picha tui!
ukumbi wenyewe unafana hivi ni ndani ya serena hotel

Mama shuhuri mwenyewe ASIA IDAROUS KHAMSIN

Aakiwa na ndugu na jamaa kwenye red carpert
Kumbuka Lady in Red ni fashion show inayoazimishwa kila mwaka tarehe 14 februari na leo imetimiza miaka kumi! na bila kukosa mimi na team yangu "tutakukeep" updated mpaka mwisho kwa hiyo stay tuned! make SHOW YENYEW BADO! hii ni "treiler"