LADY IN RED 10th ANNIVERSARY 2014

PHOTOGRAPHY: JUSTINE KAZAURA
 EVENT : LADY IN RED 10th anniversary 

Kwanza Happy "Valentine's day" leo tupo Serena Hotel ofcoz Event bado haijaanza ila nimeona nikujuze kinachoendelea mpaka sasa hivi na hizi ni baadhi yab picha tui!

ukumbi wenyewe unafana hivi ni ndani ya serena hotel

Mama shuhuri mwenyewe ASIA IDAROUS KHAMSIN

Aakiwa na ndugu na jamaa kwenye red carpert
Kumbuka Lady in Red ni fashion show inayoazimishwa kila mwaka tarehe 14 februari na leo imetimiza miaka kumi! na bila kukosa mimi na team yangu "tutakukeep" updated mpaka mwisho kwa hiyo stay tuned! make SHOW YENYEW BADO! hii ni "treiler"