SIKU YA WANAWAKE DUNIANI 2015 KUFANA KTK UKUMBI WA DAR CARNIVAL

Siku ya wanawake duniani mwaka 2015 yafana katika ukumbi wa Dar carnival tazama picha wa matokeo zaidiLADY IN RED 2015 YAFANA DAR ES SALAAM

 LADY IN RED 2015 YAFANA JIJINI DAR ES SALAAM

 Lady in Red 2015 imefanyika usiku wa kuamkia siku ya wapendanao katika ukumbi wa Nyumbani lounge. tazama picha kwa habari zaidi.
ASIA IDAROUS KHAMSIN MAMA WA MITINDO TANZANIA ASHEREKEA TUZO ALIYOPATA NA WATANASHATI WA MJINI

Picha za party ya kumpongeza mama wa mitindo Asia Idarous Khamsin kwa kunyakua tuzo ya heshima ya LIFE TIME ACHIEVEMENT AWARD 2014 katika jukwaa la kimataifa Tanzania Swahili fashion week yafuatayo ni matukio katika picha.....