Showing posts with label CONTESTANT. Show all posts
Showing posts with label CONTESTANT. Show all posts

SITI MTEVU AENDELEA KUSHIKA TAJI LA MISS TANZANIA 2014

SITI MTEVU AENDELEA KUSHIKA TAJI LA MISS TANZANIA 2014
Baada ya kashfa na tuhuma zilizokuwa zikimkabiri kukosa vithibitisho.
Hashim Lundenga akionesha cheti cha kuzaliwa cha Siti Mtemvu kwa wahandishi wa habari wakati wa mkutano na wahandishi wa habari leo asubui katika hoteli ya Jb Belmont

Hashim Lundenga akitoa utetezi wake zidi ya tuhuma zinazomkabiri mshindi wa miss Tz 2014 Siti Mtemvu kuwa hazina uthibitisho

Siti Mtemvu akitoa utetezi wake mbele ya wahandishi wa habari

Siti akitoka ukumbini akiwa ameongozana na mama yake

REDDS MISS SPORT 2014

Redss miss sport imefanyika katika viwanja vya escape one, aliyeibuka mshindi na kutwa Taji ni Elizabeth Talimo miss lindi akiwa nawakilisha kanda ya mashariki. tazama habari katika picha.
Elizabeth Talimo akipunga mkono wa furaha baada ya kushinda kuwa Redds miss sport 2014



























REDDS MISS TALENT 2014

Redds miss talent imefanyika katika ukumbi wa Maisha club, aliyeibuka mshindi na kutwa taji la redd miss talent 2014 ni nicole Salakikya miss Shinyanga mwakilishi ukanda wa ziwa.Tazama picha kwa habari zaidi.
Nicole Salakikya miss talent 2014 akionesha kipaji chake cha kuimba