SITI MTEVU AENDELEA KUSHIKA TAJI LA MISS TANZANIA 2014
Baada ya kashfa na tuhuma zilizokuwa zikimkabiri kukosa vithibitisho.
 |
Hashim Lundenga akionesha cheti cha kuzaliwa cha Siti Mtemvu kwa wahandishi wa habari wakati wa mkutano na wahandishi wa habari leo asubui katika hoteli ya Jb Belmont |
|
 |
Hashim Lundenga akitoa utetezi wake zidi ya tuhuma zinazomkabiri mshindi wa miss Tz 2014 Siti Mtemvu kuwa hazina uthibitisho |
 |
Siti Mtemvu akitoa utetezi wake mbele ya wahandishi wa habari |
 |
Siti akitoka ukumbini akiwa ameongozana na mama yake |
0 comments:
Post a Comment