PICHA ZA SIRI ( secret photography)

PHOTOGRAPHY: JUSTINE KAZAURA

MODEL: ANGEL ADRIAN

DESIGN & RETOUCH :ADELINA TIBESIGWA


THEME : PICHA ZA SIRI (secret photography)

Picha za siri au secret photography ni zile picha zinazopigwa ambapo mpigwaji anakuwa hana habari kwamba anapigwa picha  sana sana anakuwa ajaangaliana na camera karibia mapaparazi wote wanatumia picha za aina hii

Ingawa ni studio nasi tukaona sio mbaya tujaribu picha za aina hii, photoshoot haikuwa ndefu sana ukilinganisha na photoshoot nyingine ambazo tumekwisha fanya, na maanisha ya kipekee yani wakati huu hatukupiga picha kwenye background tulivyozoea ila tulifafinyia kwenye dressing table iliyopo ndani ya studio kidogo light zilizingua lakini tunamshukuru Mungu tumefanikisha....

Kwangu mimi naweza kusema nimetokea kupenda picha za aina hii sasa sijui kuhusiana na wewe unasemaje kama kwaida yangu angalia picha kwenye gallery yetu au una ruhusiwa kuangalia kwenye ukurasa wetu wa facebook https://www.facebook.com/pages/Light-photo-studio/136259433243570