MISS ILALA 2013

PHOTOGRAPHY : JUSTINE KAZAURA

DESIGN & RETOUCH :ADELINA TIBESIGWA

EVENT MISS ILALA 2013
Miss Ilala ilifanyika jana tarehe 18 / 08/ 2013 kwenye ukumbi wa Golden Jubilee Hall maeneo ya Posta na washindi watatu walipatikana ambao wataungana na warembo wengine kwenye kambi ya Taifa ya Miss Tanzania.Miss Ilala 2013 ametokea kitongoji cha Tabata anaitwa Dorris Molel ambaye amezawadiwa Tsh 1,500,000.
Najua kawaida mshindi ndo huwa anapewa kipaumbele lakini bila kuwa na wapinzani wake haina maana ya kushindana! hivyo basi nimeona nisimuongelee sana aliyeshinda miss Ilala jana kwa sababu tayari alishaongelewa sana  lakini mimi hilo sijari ndo maana nimetaka kuliruudia tena lakini naegemea sana kwenye matukio ya picha yaliyojitokeza nyakati hizo Bila kusita bonyeza hapa MISS ILALA 2013 ili ujionee baadhi ya hayo matukio yaliyotukia yoka miss ilala 2013 inaanza by the way hii ni kurasa  mpya tumeitengeneza  special kwa ajili ya MISS ILALA 2013
  Pia kaa tayari kwa matukio ya miss Tanzania 2013 kuanzia siku ya kwanza! kama kawaida "we make the page we give you update!" kaa tayari...............Hongera miss ilala! kila la kheri kwenye kambi ya miss Tanzania 2013