NI POZI TU......just a pose

PHOTOGRAPHY : JUSTINE KAZAURA

MODEL : ANGEL ADRIAN

DESIGN & RETOUCH : ADELINA TIBESIGWA

THEME : NI POZI TU......just a pose

Kama kichwa kinavyo jieleza... ni pozi tu, wala sio kingine na wala sijamaanisha kitu kingine zaidi ya kuzungumzia pozi mbali mbali za picha kama wewe mwenyewe unavyo jionea, 
Kila mtu anaweza kutafsiri picha kutokana na yeye jinsi alivyoiona 


Kwa mfano hizi picha za leo! ni pozi mbili, lakini unaweza hukazitafsiri kwa aina nyingi!  mimi binafsi naweza kustafsiri labda mrembo wetu anaonyesha viatu vyake, au labda anaonesha skin tight yake kutokana na alivyo pozi, najua unaweza ukafikiri wakati tunafanya "photoshoot" nilimwambia apozi hivyo La asha! nilimwambia akae pozi lolote ! na hilo ndilo halilopata! na mimi nikaisha kutafsiri kwanini kapozi hivyo..... na ndio ni kasema labda  anaonesha viatu au skin tight yake mi sijui! siri imebaki kwake


Hayo yalikuwa maoni yangu  Je? wewe unahisi model wetu alikuwa na mdhumuni gani pozi kama jinsi unavyo muona?  naomba majibu yako kupita ukurasa wetu wa facebook https://www.facebook.com/pages/Light-photo-studio/136259433243570  au unaweza ukaacha comments zako! na au unaweza kutuma maoni yangu kupita email yangu Atibesigwa@gmail.com zaidi ya hayo nakutakia siku njema! mpaka wakati mwingine


0 comments: