REDDS MISS TANZANIA KUANZA KAMBI KESHO tarehe 26/08/2013

Redds Miss Tanzania wanategemea kuanza kambi kesho tarehe 26/08/2013

Hii ni baada ya mashindano yote ya wilaya kumalizika ambapo warembo wote watakutana na kuanza kambi rasmi

Kwa kupenda kujua kinachoendelea basi usisite kuangalia blog yetu www.lightphotostudio.blogspot.com kila siku! nita ku keep updatdated!

0 comments: