BLACK AND WHITE

PHOTOGRAPHY :JUSTINE KAZAURA

MODEL : HAWA MTAKI

DESIGN & RETOCH: ADELINA TIBESIGWA

THEME: BLACK AND WHITE

siwezi sema sana nyie wenyewe mnajionea jinsi miss Hawa mtaki alivyotokelezea, kapendeza kwa mtazamo wangu! baada ya picha kupigwa niliamua niiweke kwenye staili ya "black and white" kwasababu  nilipenda staili alivyojilemba, alivyovaa na jinsi sura yake ilivyo....., hivyo ndivyo vilikuwa vigezo tosha kwangu mimi! zaidi ya hayo napenda kuwatakia jioni njema na jumapili njema!

kesho usisahau kufatilia matukio ya miss Tanzania wakiwa kambini hapa kwenye blog yetu.....

0 comments: