HASSAN MAAJAR TRUST WAANDA HAFLA YA CHAKULA CHA JIONI KWA LENGO LA KUCHANGIA MADAWATI YA WANAFUNZI

photography: Justine Kazaura
Location : Diamond Jubilee Hall

HASSAN MAAJAR TRUST WAANDA HAFLA YA CHAKULA CHA JIONI KWA LENGO LA KUKUSANYA SH. MILIONI 500  KWA AJILI KUCHANGIA MADAWATI 6000 YA WANAFUNZI WENYE UKOSEFU WA MADAWATI NCHINI MGENI RASMI AKIWA NI WAZIRI MKUU MH.PETER MIZENGO PINDA.

HAFLA HYO ILIFANYIKA KATIKA UKUMBI WA DIAMOND JUBILEE JIJINI
DAR ES SALAAM. TAZAMA PICHA KWA MATUKIO ZAIDI

0 comments: