PHOTOGRAPHY : JUSTINE KAZAURA
SEGMENT : kupeana Mauwa
Siku yenyewe inajielezea ni wapendanao na ndo maana tupo kwenye tukiona kama la leo! hapa mama yetu Asia akigawa maua kwa wageni wake! inapendeza sana!
| Asia akimgawia ua Miss Tanzania 2012 |
| Asia akitabsamu na wenzake |
| raha ya kupendwa hiyo! |