PHOTOGRAPHY :JUSTINE KAZAURA
DESIGN & RETOUCH : ADELINA TIBESIGWA
MODEL: ROSE
Nimezipenda staili hizi mpya, kwa sababu sio mazoea sana ya maharusi wengi kupigia picha zao studio, mara ying wengi wao wamezoea kupigia picha nje ya studio nikimaanisha lilipotukio la harusi
lakini naona na studio pia inafaa kupiga picha za harusi kwa vile zote ni kumbukumbu, pasipo kujari ni wakati gani zimepigwa, lakini zinazopigwa nje sina uhakika sana, kwa sababu huwezi jua hali ya hewa itakuwaje siku yako ya harusi na huwezi kutabiri hali ya hewa, sikuogopeshi, ila mahali popote unaweza kupiga picha zako lakini kwa mtatazamo wangu naona studio ni mahali salama pa kupigia picha wakati wa harusi yako
na hiyo ndo sababu ya mimi kukuletea hizi aina za picha za harusi, ukajionea mwenyewe jinsi unavyoweza kupendeza pia kwenya sherehae yako ya harusi kwa aina ya pozi mbalimbali, natumaini utapenda kuona zaidi ya hizi picaha za harusi kwa hiyo usisite kuaziangalia kwenye gallery yetu
we mwenye humeweza kujiona na we mwenyewe pia ndo unayeamua kiasi gani unataka harusi yako ipendeze kwa hiyo hakikisha umefanya maamuzi mazuri katika upiagaji wa pichazako za harusi, natumaini kwa hizi chache nilzo kuonyeshatayari umeisha vutiwa, chaguo ni lako kututuita tukupige picha nzuri! kwa mawasiliano bonyeza hapa contacts
unawza bado kutufuata katia katika ukurasa wetu wa facebook kwa kubonyeza hapa https://www.facebook.com/pages/Light-photo-studio/136259433243570
zaidi ya hapo nawatakia siku njema!