PHOTOGRAPHY : JUSTINE KAZAURA
THEME : MAVAZI YA ASIA 2014
Sasa muda uliokuwa ukisubiliwa ndo huu, kwanza stage ilipendeza!, pili warembo walivutia na kuzitendea haki nguo za wabunifu wao nawapongezeni kwa hilo........... kwa kuakadilia mavazi ya Asia yalikuawa kama ishirini hivi... na yote yamependeza hakika! wewe tu jionee na uniachie maoni!
Na show yetu imeishia hapo napebda kuto shukrani zangu kwa daa Asia kutokana na ukarimu wake aliounesha kwetu cha zaidi endelea kuangalia blog yetu kwa habari zaidi