PICHA ZA "KILL MUSIC AWARD"


Naweza kuanza kwa kusema "namshukuru MUNGU",nimetumia muda mwingi kuikamilisha hii blogu, lakini sijali kwasababu ndio kitu ninacho kipenda na kinacho nifurahisha

kama blogger wa Light Photo studio, nimeona sio mbaya kuanza na picha hizi za "kill music award" kama moja ya kazi yetu tuliyokuwa nayo wiki iliyopita, na pia tegemea picha nyingi zaidi kutoka kwetu za kila aina tuta ku "keep updated!" hilo nakuhakikishia.....

kwa leo anza na hizi
EVENT: kill music award
DATE: 08/06/ 2013
PLACE : Mlimani city

PHOTOGRAPHER: Justine KazauraHiyo  ndo ilikuwa "kill music award" ni matuamaini yangu umeburudika!

0 comments: