POZI ZA ALICE

PHOTOGRAPHY: JUSTINE KAZAURA

MODEL : ALICE

DESIGN & RETOUCH : ADELINA TIBESIGWA

POZI ZA ALICE

Usijiulize au usishanga kwa kusema Alice humjui au mbona sio "star" hiyo haijarishi hata kidogo kama umependa pozi!
kiufupi jana msichana huyu  alikuwepo studio janakwa jinsi alivyokuwa akipozi kwa ajili ya picha  niliweza kuambulia picha hizi mbili ambazo nilipenda pozi ndo nikazia fanya manuva na zikatoke jinsi hivi unavyo ziona unaweza kuziita "black and white" kutokana na unavyoona


Kwa kuziona vizuri karibu kwenye gallery yetu

0 comments: