MATUKIO YALIYOJIRI MISS TABATA 2014 KATIKA PICHA

Photography : Juystine Kazaura 
Event : Miss Tabata 2014


Redd’s Miss Tabata 2014, Ambasia Maliy akipunga mkono kwa mashabiki wake muda mfupi baada ya kutawazwa rasmi kuwa Mrembo wa Kitongoji cha Tabata, Shindano hilo lilifanyika kwenye Ukumbi wa Da’west Park,Tabata jijini Dar es Salaam usiku wa kuamkia jumamosi.  Mshindi wa Pili wa shindano hilo,  Faudhia Feka  pamoja na Mshindi wa Tatu, Ramta Mkadara .


Wahiriki wa shindano la Miss Tabata 2014 wakifungua shindano Washiriki wakiwa wamevalia mavazi ya ubunifu
Washiriki wakiwa katika vazi la kuogelea
Washiriki wakoionesha vazi la usikuMajaji wa shindano la Miss Tabata 2014 wakishauriana jambo wakati wa kuwapata tano boraWashiriki wa shindano wakingoja kutangazwa tano bora
Washiri waliofanikisha kuingia tano bora Miss Tabata 2014


Mmoja wa washiriki wa tano bora akijibu swaliMmoja wa washiriki akionesha kipaji chake cha kuimba wakati wa kumsaka Miss Tabata talent 2014.

Mshindi wa Miss Talent 2014 akipunga mkono kwa mashabiki baada ya kutangazwa.

Miss Personality akiwa katika pozi baada ya  kutangazwa mshindi

Miss Discipline baada ya kutangazwa mshindi


Washiriki waliofanikisha kuingia tatu bora


Mshindi Miss Tabata 2014 Ambasia Maliyi akivishwa taji

Washindi tatu bora wa Miss Tabata 2014 wakiwa katika picha ya pamoja
Mshindi wa kwanza Ambasia Maliy (katikati)
shindi wa Pili  Faudhia Feka (kulia) pamoja na Mshindi wa Tatu, Ramta Mkadara .

Mshindi wa kwanza Ambasia Maliy (katikati)
shindi wa Pili  Faudhia Feka (kulia) pamoja na Mshindi wa Tatu, Ramta Mkadara .

Mshindi Miss Tabata 2014 akiwa katika pozi


0 comments: