Photography : justine Kazaura
Event : Redds Miss Kinondoni 2014 zawadi
Matukio katika picha washiriki Redds Miss kinondoni wakipewa zawadi zao tarehe 16/08/2014 Picolo beach hotel.
| Washiriki Redds Miss Kinondoni wakisubiri kupewa zawadi zao |
| Mmoja wa wadhamini Mr. Lucas Rutainirwa (katikati) mkurugenzi wa Kampuni ya Kitwe general traders akiwa na baadhi ya wanakamati Redds miss Tanzania |
| Mkurugenzi wa kampuni ya Kitwe general traders mr Lucas Rutainurwa akiwa ktk pozi na Mr. Albert Makoye chief protocal Redds Miss Tanzania |
| Mkurugenzi wa kampuni ya Kitwe general traders mr Lucas Rutainurwa akiwa ktk pozi na Mr. Albert Makoye chief protocal Redds Miss Tanzania |
| Matroni na msaidizi wake Redds Miss Knondoni wakifurahia kumaliza majukumu yao na kufunga kambi ya Redds Miss Kinondoni |
| Mshindi wa kwanza Redds Miss Kinondoni akikabidhiwa Zawadi |
| Mshindi Redds Miss Kinondoni akionesha zawadi yake |
| Mshiriki Redds Miss Kinondoni 2014 akipewa zawadi |
| Mshiriki Redds Miss Kinondoni 2014 akipewa zawadi |
| Mshiriki Redds Miss Kinondoni 2014 akipewa zawadi |
| Mshiriki Redds Miss Kinondoni 2014 akipewa zawadi |
| Mshiriki Redds Miss Kinondoni 2014 akipewa mkono wa pongezi baada ya kushinda kuwa balozi wa Kitwe geberal traders |
| Mkurugenzi wa kampuni ya Kitwe general traders Mr. Lucas Rutainurwa katika picha ya pamoja na balozi wake wa Kitwe general traders |
|
| Mh. Lucas Rutainurwa katika pozi |
| Matroni Redds Miss Kinondoni 2014 katika pozi |
| Mshiriki Redds Miss Kinondoni 2014 akipewa zawadi |
| Mshiriki Redds Miss Kinondoni 2014 akipewa zawadi |
| Mh. Lucas Rutainurwa ( mkurugenzi Kitwe general traders) akiongea jambo |
0 comments:
Post a Comment