REDSS MISS EASTERN ZONE 2014

Photography : Justine Kazaura
Event : Redds Miss Eastern Zone 2014

Matukio ya Redds Miss Eatern zone 2014 katika picha yaliyofanyika Morogoro tarehe 08/08/2014 kwenye ukumbi wa  Nashera hoteli, ambapo mshiriki namba tisa Elizabeth Eliude kutoka Lindi aliibuka mshindi katika shindano hilo.


Mr. Alex Nikitasi (kushoto) mwandaaji wa
 Redds Miss Eastern zone 2014
akiwa katika picha ya pamoja na wageni wake
ambao hawakufahamika majina yao

Mgeni rasmi Mh. Mustafa Mkuro
 akiufungua shindano

Mgeni rasmi Mh. Mustafa Mkuro
 akiufungua shindano

Baadhi ya washiriki wa Redds Miss Kinondoni
katika pozi

Mr. Albert Makoe akiongea jambo

Washiriki wa Miss Eastern zone
katika show ya ufumbuzi

Wine Star akitumbuiza

Msichana katika kundi la wine star akitumbuiza

Washiriki katika vazi la ubunifu

Vazi la ubunifu

Vazi la ubunifu

Vazi la ubunifu

Vazi la ubunifu

Vazi la ubunifu

Vazi la ubunifu

Vazi la ubunifu

Vazi la ubunifu

Vazi la ubunifu

Washiriki katika vazi la ufukweni

Washiriki katika vazi la ufukweni

Kala Jeremiah akitumbuiza

Vazi la usiku

Vazi la usiku

Vazi la usiku

Vazi la usiku

Vazi la usiku

Vazi la usiku

Vazi la usiku

Vazi la usiku

Vazi la usiku

Mr. Hashim Lundenga akitangaza tano bora


Tano bora wakiulizwa maswali

Majaji wakishauriana jambo

Elizabeth Eliude  Miss Ester zone 2014
baada ya kutangazwa mshindi

Elizabeth Eliude akivishwa taji baada ya kuibuka mshindi

Elizabeth Eliude akiwa na mshindi namba mbili na namba tatu
katika picha ya pamoja

Mgeni rasmi akikabidhi zawadi kwa Miss Eastern zone 2014

Elizabeth Eliude katika pozi

Mgeni rasmi katika picha ya pamoja na washiriki

Elizabeth Eliude katika pozi

washiriki wakipokea vyeti vya kushiriki

0 comments: