S & D COLLECTION WAZAMINI MISS TANZANIA 2014

 S & D  COLLECTION WAZAMINI MISS TANZANIA 2014

Bi Devotha Kijogoo Mtambo S & D collection wazamini wapya miss Tanzania 2014 kwa upande wa mavazi kauli hii imethibitishwa na mkurugenzi wa S & D collection  Bi. Devotha Kijogoo Mtambo wiki iliyopita ambapo alisema atawadhamini washiriki wote wa Miss Tanzania watakaoingia kambini mwaka huu 2014, kila mshiriki atazminiwa nguo za aina tatu ambazo ni vazi la ufunguzi (opening show), vazi la ubunifu na vazi la ufukweni ( beach wear), na haya ni baadhi ya matukio katika picha.


0 comments: