TARSISI MASELA KUZINDUA ALBUM INAYOENDA KWA JINA LA ACHA HIZO

Usikose uzinduzi wa album mpya ya Tarsisi Masela inayoenda kwa jina la ACHA HIZO, uzinduzi huo utafanyika tarehe 21/11/2014 katika ukumbi wa Ten lounge zamani Businnes Park kuanzia saa mbili kamili usiku.Tarsisi masela atasindikizwa na Akudo impact mashujaa band pamoja na Jahazi modern taarab kwa kiingilio cha shiling 10,000 na VIP shilingi 30,000. nyote mnakaribishwa!


0 comments: