"MISS KINONDONI TALENT SHOW"

TAREHE: 20-06-2013 

PLACE : Shekina garden

EVENT : Miss talent

PHOTOGRAPHY : Justine Kazaura


kila mtu ana kipaji, lakini si wote wanaoweza kulitambua  hilo, ni wachache sana ambao wana ujasiri
wa kuonesha vipaji vyao kwa kujiamini, mimi huwa nawaita "walio bahatika!" na ndivyo hivyo miss talent show kinondoni alivyo nidhihirishia kipaji chake......
 
wewe unaweza vaa gazeti ukaenda nalo sokoni?
au kwenye mwaliko? au ukalifanya  nguo ya kushindia nyumbani? kama unaweza fanya hivyo bila shka una kipaji.... usisite kukionesha

si hilo tu ambalo limeweza kuniacha hoi yapo mengi,  lakini lililoweza kunichengua zaidi ni huyu
dada alivyoweza kuuchezea moto vizuri, mimi siwezi!


ndo maana naamua kuumpa sifa zake ni mzuri,
ni mrembo, anavutia, na anaweza kuchezea moto...... chezea watoto wa kinondoni wewe!?


NB: picha halisi cheki kwenye
gallery yetu