MATUKIO YALIYOJIRI "MISS KINONDONI 2013"

EVENT: Miss kinondoni 2013
PHOTOGRAPHY:   Justine kazaura

miss kinondoni 2013
DATE : 21-06-2013
miss kinondon 2012

Hatimaye Bridgette amevua taji lake leo la miss Kinondoni  na kumkabidhi miss kinondoni mpya ambaye ametambulika leo usiku kwa jina la Lucy Tomeka, siwezi kusema mengi kwa sababu majaji wamefanya kazi zao na wameona ni haki na ni sawa taji kuchukiliwa na Lucy! na maanisha Msichana ana uwezo kama umemuona alivyo kuwa akijibu swali lake
wee mwenyewe tu ungekubalivazi la ubunifu
vazi la jioni
Ingawa na warembo wengine walijitahidi kujibu na kuonesha uwezo wa uelewa wao lakini kama tunavyojua haya ni mashindano mwisho wa siku inabidi apatikane mmoja aliye bora hata kama wote ni "the best" kwa mtazamo wangu naweza kusema wote ni washindi kwa nikaona sio vibaya niweze kuonesha hao warembo wengine walivyo kwa na jinsi walivyo hudhuria mashindano hayo mwanzo mwisho na jinsi mambo yalivyokuwa kwa watu wengine
vazi la ubunifu

vazi la jion
 Kila mrembo akionesha mbwembwe zake kwenye vazi alilolina hasa lina mfaa,mavazi yalikuwa mengi
na ya aina mbalimbali haya ninayo kuonesha ni baadhi tu

 Bila kuwasahahu majaji, unavyoona wanaumiza vichwa kuweza kuchagua nani ataibuka mshindi usiku wa leo make madada za watu walipendeza na kuvuta si mchezo!


Ndo hivyo Miss Kinondoni imeisha, na mshindi kaisha patikana kama ulitaka kushiriki subiri tena mpaka mwakaaani.....
Sasa hivi kila mrembo aliye chukua taji yupo kwenye mazoezi ya hali juu make lengo ni moja ambalo ni kufika kileleni na kutwaa  taji la miss Tanzania.... nani atafanikisha? sijui kazi yangu ni kuku habarisha yatayojiri.....