SUNDAY PHOTO SHOOT WITH MISS HAWA

PHOTOGRAPHY: JUSTINE KAZAURA

RETOUCH & DESIGNS : ADELINA TIBESIGWA

MODEL  : HAWA MTAKI

INDOOR PHOTOPGRAPHY


Kama ni jumapili basi hii ilikuwa ''my best sunday ever! '' jambo ni kwamba tumefanya ''photoshoot'' za aina mbali mbali, siwezi kusema ni zipi na zipi, na za aina gani au tumepiga wakati gani hiyo haijarishi! kwa sababu picha ni nzuri! nimezipenda, sasa sijui nimempenda mrembo wetu tuliye kuwa naye!? au nimempenda mpiga picha wetu justine!? au labda nimejipenda mimi......... lakini hivyo vyote sijari ninacho jari nikwamba mwisho wa siku tumekamilisha kazi yetu kama "team''  tukiwa wenye furaha , kwa hiyo  sio mbaya na wewe pia ukaangalia kidogo hizi picha na kuona hisia zetu zilikuwaje jumapili nzima 

una weza ukaacha maoni yako kwenye "chat box" unayoiona hapo au moja kwa moja ukatembelea facebook page yetu   

 https://www.facebook.com/pages/Light-photo-studio/136259433243570


so much love miss Hawa kwa mchango wako!
 hizo ndizo picha ambazo tumepiga jumapili hii , nasubiri kuna maoni yako kwenye chat box yetu au kwenye page ya facebook

https://www.facebook.com/pages/Light-photo-studio/136259433243570

 huu sio mwisho vitu vizuri na piha nzuri nyingine zitaendelea kuonekana kwa hiyo
"stay tuned" kwa kitakacho fuata
  

kwa picha nzima na zaidi angalia kwenye gallery