SIMPLE FAMILY POTRAIT PHOTOGRAPHY

PHOTOGRAPHY : JUSTINE KAZAURA

DESIGN & RETOUCH : ADELINA TIBESIGWA

FAMILY PICTURE : MRS. PENDO YUNGA


Kama kawaida  ni siku ya kipekee, ambapo mimi na timu yangu  tumewaza kupiga picha za familia, ni familia ya kawaida  ambayo inaonyesha ina furaha! ni nzuri, watoto wamechangamka, hawaogopi picha na kingine ni kama camera ina wakubari  au imewazoea make hawakutupa wakati mgumu, tulikuwa tunawapanga na kuhesabu "moja, mbili. tatu tunapiga" siwezi kusema ilikuwa rahisi, kama maandishi yangu yanavyoonesha ila ni kazi yetu tunaipenda na tunaburudika kwa hiyo sisiti kusema kazi ilikuwa nzuri kwasababu mwisho wa siku ina tufurahisha........... hebu "check" hizi picha kwanza alafu we mwenyew uniambie unaonaje unaweza ukaacha maoni yako au ukatufata kwenye ukurasa wetu wa  
facebook : https://www.facebook.com/pages/Light-photo-studio/136259433243570   zaidi ya hayo enjoy hizi piha kwanza


 siwezi kuendelea kuongelea nadhani nyie wenyewe mnajionea ni jinsi gani kila siku tuna jitahidi kuwaletea vitu vipya, kwa habari zaidi  tufate  facebook na "u like" page yetu
https://www.facebook.com/pages/Light-photo-studio/136259433243570