PHOTOGRAPHY : JUSTINE KAZAURADESIGN & RETOUCH : ADELINA TIBESIGWA
BACK IN 70'S WITH BLACK & WHITE
Aisee! siwezi kuanza nasema eti miaka ya sabini nilikuwepo, wakati sikuwepo ila nachoweza kusema ni kwamba nimepata bahati ya kusikia "story" zilizokuwepo miaka hiyo, jinsi walivyo vaa, walivyoongea yani kiujumla staili nzima za maisha yao, kuna baadhi nimezipenda nyingine zimenishangaza kwani kuna baadhi ya mambo ambayo hayawezekani kutendeka miaka hii, mengine yanawezekana ndio, na watu wanaanza kurudia staili hizo sasa hivi tunawaona!,
lakini mimi kilichonifanya niipende miaka hiyo hadi nielezee hisia zangu kwenu
ni jinsi baadhi ya picha zilivyokuwa zinapigwa,


Napenda kutoa shukrani kwa "mamodel" kwa kukubali niwaweke katika "black & White" ASANTENI SANA....... alafu pia na hao mamodel wangu hawakuwepo miaka ya sabini ni ubunifu tu, hizi picha kapiga Justine siku ya jana katika studio yetu ya Light Photo studio.