PHOTOGRAPHY AND THE OFFICE OUTFIT

PHOTOGRAPHY : JUSTINE KAZAURA

MODEL: MACKLINE ALEXANDER

DESIGN & RETOUCH : ADELINA TIBESIGWA

THEME : Photography & the office outfit

Kwa mara nyingine tena, kwa watu wote, hasa hasa kwa wale madada zangu wa ofisini mimi nikiwa mmoja wapo, najua tunakuwa bize sana na kila muda wetu tumeupangalia kwa lugha nyingine ni kwamba tunaenda na muda, lakini hiyo hatukatazi ku "have fun" kuna mambo mengi ya kufanya nje ya ofisi yanayoweza kukuburudisha! moja wapo ni kpiga picha nakuweka kumbukumbu!, muda wowote na wakati wowote haijarishi kama umevaa vazi la ofisini, make utependeza tu 
hebu angalia hizi "camera shots" chache, hakika zinavutia, na kawaida mavazi ya ofisi huwa yanavutia kwa sababu kila utakapo livaa utakubaliwa isipokuwa disco! kwa hiyo madada zagu muda wowote ukiwa unaelekea ofisini jisikie huru kupitia studio na kupiga picha zako kama mbili au tatu na kuweka kumbukumbu ya siku! 


kubali ukatae , vazi la ofisini litakufanya ujisikie smart, nani anayejua labda kwa kufanya hivyo unaweza ukabadilisha siku yako nzima ikawa nzuri! niamini inavyokwambia camera inaweza kubadilisha maisha ya mtu! yenyewe haibagui kama ambavyo unajioenea! huyo "model"wetu tumempigia picha studio, lakini nimeongeza ujuzi na sasa anaoneka yupo nje ya studio yetu! kwa hiyo hajarishi uko biza kiasi gani! tunaweza kuasababisha uburudike katika ubize wako!.
kwa picha za ukweli na ambazo yupo studio ndani bonyeza hapa gallery 

kwa picha nzuri na zaidi unakaribishwa kuangalia kwenye gallery yetu  au unaweza kuufuata kwenye ukurasa wetu wa facebook na uka "like" page https://www.facebook.com/pages/Light-photo-studio/136259433243570
yetu
 ndugu msomaji usisite kututafatuta tukufanyie maajabu kwa aina mbali mbali za picha, huwe mtu yoyote ukitutaka nasi tutakuja contacts    zaidi ya hapo napenda kusema siku njema! mpaka wakati mwingine