POZI KWA CAMERA

PHOTOGRAPHY : JUSTINE KAZAURA
MODEL : MACKLINE ALEXENDER
DESIGN & RETOUCH : ADELINA TIBESIGWA

THEME : POZI ZA CAMERA
Kwa picha zingine tazama kwenye gallery. Leo ni na kitu kingine kabisa! ambacho ni kuhusiana na upigaji picha ni kiwanamaanisha wapigwa picha, ndio, baadhi wanaweza kusema ni kitu kidogo! na  hiyo ndo sababu unakuta wanapiga picha nyingi, na wanasubiri picha zao vizuri tu wakiisha ziona tu unakuta wananyong'onyea  na wakisema "sikupenda itoke hivi au mbona nimetoka vibaya?" lakini yote hiyo nu kwa sababu hawa kujiandaa toka mwanzo

kwa upande wangu naweza kusema katika kupiga picha kunaitaji maandalizi! make hadi kufikia kitendo cha kupigwa picha kuna mlolongo mrefu sana,  ili wewe upate picha nzuri na ambayo unaitegemea na pozi ambalo unalitaka lolote lille! jiandae nalo! fana mazoezi nalo, umetaka kupiga picha unayokuonesha unafurahi lakini kutokana na kutojianda unapigwa picha umetoka umenuna, au una hasira.... hyo lazima uichukie!

kwa hiyo ni vizuri ukafanya maandalizi yako mapema ili kama ulipanga kupiga picha za aina fulani zitoke sawa na kama ulivyotegemea na sivinginevyo! la sivyo utajichukia 

kitu kingine ni kuhusiana na KUJIAMINI hicho nacho ni kitu muhimu, nimeona watu wengi anaingia studio vizuri kupiga picha lakini kuona mandhari tu! anaganda bado sijajua sababu  juu ya hilo! lakini kutokana na hiyo hali matokeo ya picha lazima yawe mabaya tu! kama yakitoka vizuri bhasi alibaahatisha! ukimwambia arudie tena anashindwa... hiyo ni kweli!
kwa hiyo wenzangu maandalizi na kujiamini ni vitu muhimu na inabidi uendenavyo sambamba kila uingiapo studio! ili usije ukaharibu kumbukumbu zako na siku yako nzima! 

kwa mawasiliano zaidi unaweza kwasiliana nasi hapa hapa kupitia kwenye hii blogu yetu au ukatufata kwenye ukurasa wetu wa facebook na ku like page yetu https://www.facebook.com/pages/Light-photo-studio/136259433243570       zaidi ya hayo ngoje niishie hapo .....  mpaka wakati mwingine siku njema!  gallery