SIRI YA CHUNGU

PHOTOGRAPHY : JUSTINE KAZAURA

MODELS : DARLIN & GRACELLA

DESIGN & RETOUCH : ADELINA TIBESIGWA


THEME :SIRI YA CHUNGU 

siri ya chungu, hiyo ndio theme ya leo, kama umefatilia post iliyopita bhasi usisite kusema nimeegemea upande wa kiafrika lakini hiyo sio tabu natumaini.

Wazo la Siri  ya chungu tumelipata baada ya kuona wanawake wengi wa kiafrika au asilimia kubwa ya wanawake wa kiafrika wnajua na kupenda kupika tangu wanapokuwa watto wana fundishwa mila hizo zimekuwa zikipita katika vizazi na vizazi mpaka wakati huu......Hayo ndo yalikuwa mawazo yangu na ndiyo yaliyonipelekea hadi ktengeneza picha za aina hii  kama mnavyoziona ukitaka kuziangalia vizuri bhasi karibu kwenye gallery na pia unaweza kutembelea ukurasa wtu wa facebook kwa maoni zaidi https://www.facebook.com/pages/Light-photo-studio/136259433243570

0 comments: