AFRICA NA UTANDAWAZI

PHOTOGRAPHY : JUSTINE KAZAURA 

MODELS : DARLIN & GRACE

DESIGN & RETOUCH : ADELINA TIBESIGWA

THEME : AFRICA NA UTANDAWAZI

Kwanza kabisa kwa jinsi mimi ninavyolielezea au ninavyotafsri neno utandawazi ni kwamba linaelezea jinsi dunia inavyo badilika na kuwa kama kijiji kimoja katika ngazi zote za kijamii.... sasa Afrika tunabdilkikaje? au mabadiliko hayo yametuathiri vipi? unakaribishwa kuacha mtazamo wako...
Theme ya leo ya picha zetu ni Africa na utandawazi tukiwa tume egamia sana kwenye upande wa mwanamke, zinaonesha jinsi utandawzi ulivyoweza kumkomboa mwanamke wa kiafrika akawa na uwezo wa kutumia technolojia na dunia ikawa kama kijiji kwake

Kama una maoni au mapendekezo nitafurahi kuyaona na unakaribishwa kulike ukurasa wetu wa face book https://www.facebook.com/pages/Light-photo-studio/136259433243570 na kwa picha zidi na nzuri karbu kwenye gallery yetu

1 comments:

Emmanuel mTUI said...

ndio, imetubadili. ila nivizuri ku hakiki mabadiliko kabla ya kuyachukua. i like the idea.