"TOP MODEL" REDDS MISS TANZANIA 2013

PHOTOGRAPHY: Justine Kazaura

Juzi tarehe 7/09/2013 timu nzima ya Redds Miss tanzania iliyokuwa  jijini Arusha katika mashindano madogo ya kumsaka mrembo mwenye uwezo wa kulimiki jukwaa kwa kutembea au kwa msemo mwingine wenyewe wana mwita "top model" au mshindi wa " cat work" ambaye na ambaye aliweza kupata sifa hizo ni Narietha Boniface ambaye ni miss Temeke namba mbili mwaka huu 2013.

Mhindi wa Redds miss Tanzania Top model
Narietha Boniphace

kwa picha nyingi zaidi angalia kwenye ukurasa wa
MISS TANZANIA 2013/2014

0 comments: