PICHA NA RANGI

PHOTOGRAPHY: JUSTINE KAZAURA 

CLIENT : MOHAMED KILWANDA

DESIGN & RETOUCH : ADELINA TIBESIGWA

THEME : PICHA NA RANGI

Picha ni rangi, hivyo ndivyo ntakavyo jibu kama mtu yeyote ataamua kuniuliza picha ni nini, hiyo ni kutokana na mtazamo wangu, kama wewe una mtazamo tofauti nitafurahi kuona unayafikisha hapa kwenye blog yetu,


Hizi picha za leo kama ukichunguza au ukiangalia utaona nimetumia "background" ya njano sio kwamba nilipanga nitumie hiyo tangu zilopoanza kupigwa la hasha! wazo la kubadilisha background limeniingia wakati na "Edit" nimeona rangi aina ya njano inayofifia ndo inanifaa kwasababu tu inaleta staili fulani hivi na urembo fulani..... picha inaonekana kama ya zamani kidogo hivi....


ukitaka kuziangalia picha vizuri basi usisite kuangalia kwenye gallery yetu kwa maoni zaidi unweza kutembelea ukurasa wetu wa facebook uka "Like" afu ndo ukaacha maoni yako
https://www.facebook.com/pages/Light-photo-studio/136259433243570

mpaka wakati mwingine "enjoy"

0 comments: