PICHA NA UBUNIFU

PHOTOGRAPHY : JUSTINE KAZAURA

MODEL : MACKLINE ALEXANDER

DESIGN & RETOUCH : ADELINA TIBESIGWA

THEME: PICHA NA UBUNIFU

Kutokana na  mimi na jinsi ninavyoona, tukiongelea  swala la upigaji picha naona  ni kitu kikubwa na kizito sana ukulinganisha na na jinsi neno linavyotamkwa

Katika upigaji picha kuna mlolongo mrefu unaokuwepo hadi ukaiyona imeakamirika kwa mtu ambaye ana uzoefu na upigaji picha au sio mpiga picha anaweza kuona ni kitu rahisi na cha kawaida na siwezi kumrahumu! hii inatokana na jinsi gani anapenda pichaNinachotaka kukiongelea ni kwamba picha kama picha kuanzia inavyopigwa hadi kuja kwenye mlolongo mzima wa kutengenezwa na kuwekwa sawa hadi kuchapishwa inaitataji maandalizi ili itoke picha nzuri unayoitegemea vinginevyo unaweza ukapata matokeo ambayo hujategemea

na nikisema ubunifu na maanisha unaongeza upekee wa picha unaoifanya itofautiane na ya mwingine, raha ya picha ni kuwa unajaribu mbinu mbali mbali bila hivyo basi hupendi kazi yako

Kama unavyoona jinsi  nilivyofanya kwenye hii picha ya leo! ukitaka kuaangalia mlolongo wa picha  zote karibu kwenye gallery yetu na pia kwa maoni zaidi usiasha kutembelea ukurasa wtu wa facebook https://www.facebook.com/pages/Light-photo-studio/136259433243570

0 comments: