UPWEKE SHOT

PHOTOGRAPHY : JUSTINE KAZAURA

MODEL : MACKLINE ALEXANDER

DESIGN & RETOUCH : ADELINA TIBESIGWA

THEME : UPWEKE SHOT

Hii "photoshoot" tuliifanya siku moja na post iliyopita ndio maana kidogo baadhi ya vitu alivyovaa "model" wetu vina fanana, lakini hilo sio tatizo kwa sababu kila picha ina ujumbe wake


Picha ya leo ina zungumzia "upweke" we mwenyewe unaona jinsi msichana wetu alivyoinama kwa uzuni kama ana sikitika yupo gizani maua yanaonekana yamechoka, ajui afanye nini kiufupi picha nzima  inaelezea jinsi upweke unavyomsikitisha, mimi ndivyo navyo ona kutokana na photoshoot tuliyokuwa nayo, kama wewe una maonoi zaidi una karibishwa kuchangia..... nitafurahi sana

sina mengi ni hayo kwa leo.... nakutakia siku njema!

0 comments: