USICHEZEE ASILI ( don't play with nature)

PHOTOGRAPHY : JUSTINE KAZAURA

MODEL: MACKLINE ALEXANDER

DESIGN & RETOUCH : ADELINA TIBESIGWA

THEME: USICHEZEE ASILI....(don't play with nature)

picha ya leo ni portrait na kama nilivyosema  huko nyuma kawaida siku zote picha za portrait huwa zimebeba ujumbe, sawa picha zote huwa zina ujumbe lakini hizi za portrait huwa zina upekee fulani  katika swala zima la kihisia kwasabu zina husisha hisia za aina yoyote ile! ndo maana leo nikaona ngoja leo niwaleteeni tena picha ya portrait nikiwa na ujumbe wangu unao usiana na asili....


Ninaposema neno "asili"  kila mtu anaweza kulitafsili kutokana na yeeye anavyoona au jinsi anavyoshuhudia, na sisi pia kutokana na photoshoot yetu na picha yetu hii tuliyowaletea neno "asili" nimelielezea kama chanzo cha kitu fulani, kwa hiyo hicho kichwa changu cha habari kina maanisha huwezi hukaichezea asili ya kitu la sivyo utaishia kujiumiza kwa njia moja au nyingine katika hali tofauti tofauti........na nyakati tofauti tofauti 

Huwezi kubadilisha asili ya kitu huo ndio ujumbe wangu wa leo kutokana na picha niliyo amua kuwaonesha kama wewe una maoni tofauti ningefurahi kuona ya nanifikia kupitia kwenye ukurasa wetu wa facebook https://www.facebook.com/pages/Light-photo-studio/136259433243570 au kaacha ujumbe kwenye blog yetu hii! 
zaidi ya hayo na watakia siku njema!

0 comments: