TASWIRA

PHOTOGRAPHY : JUSTINE KAZAURA

CLIENT : JANETH

DESIGN & RETOUCH : ADELINA TIBESIGWA

THEME : TASWIRA

Unahitaji kusimama kwa dakika au sekunde tu  kujiangalia we ni nani na una mchango gani katika jamii. na hiyo ndio theme yetu ya leo utakavyojiona taswira yako basi ndivyo jinsi ulivyo ni wewe tu wa kunfanya maamuzi ya nani unataka kuwa!

Kuiona picha hii vizuri na nyingine zaidi karibu kwenye gallery yetu

1 comments:

Black Fit Rasta said...

Kazi ipo vizuri sana safi!!