PHOTOGRAPHY : JUSTINE KAZAURA
CLIENT : EDITHA SALUM
COMPOSE RETOUCH & DESIGN :ADELINA TIBESIGWA
THEME : RANDOM EXPRESSION
Leo nimeenda tofauti na kuwaletea picha kwa staili nyingine kabisa! ingawa kila moja inajielezea tofauti kama theme yake inavyoonesha na hayo ndio yalikuwa makusudi yangu kabsaa!
Kama wenyewe mnavyoziona picha hizi, mteja wetu kapigiwa studio kama kawaida alafu mimi nikaona sio mbaya kumbadilishia mazingira! ili ipendeze zaidi.....

0 comments:
Post a Comment