CARS FOR SHOOT

PHOTOGRAPHY : JUSTINE KAZAURA


MODEL : GELITHA ALPHONCE

COMPOSE DESIGN & RETOUCH : ADELINA TIBESIGWA

THEME: CARS FOR SHOOT

Leo nimeona nibadilike kidogo, picha zangu za leo nimetoka nje lakini kiukweli zimepigiwa studio! alafu ndipo nikaongezea maujanja, shukrani sana kwa "model"wetu kwa kuonesha ushirikaiano

  Kwa kumuona vizuri model wetu huyu ambaye na uhakika kapendeza, karibu kwenye  gallery yetu bure! kabisa! na pia usisahau kutembelea ukurasa wetu wa facebook na kugonga like yako https://www.facebook.com/pages/Light-photo-studio/136259433243570


0 comments: