STUDIO GIRL photoshop composition

PHOTOGRAPHY : JUSTINE KAZAURA

MODEL : JANETH

DESIGN COMPOSITION & RETOUCH : ADELINA TIBESIGWA

THEME : STUDIO GIRL
Hii theme ya leo sio ya kutunga ni "story" ya kweli kwa wale wapenda muziki ! sio msichana wala sio mvulana ila hii inawafakia wote.........  Kwa njia moja au nyingine natumaini picha hizi zita kuhamasisha na kufanya uendele kukaza kwa kitu chochote unachopenda kufanya katika maisha yakoKama wewe unapenda mpira basi na uwanjani pawe nyumbani kwako, kama wewe unapenda kuwa dreva basi na gari liwe nyumbani kwako  na pia kwa anayependa muziki basi na studio pawe nyumbani kwake sawa sawa na mimi ninayependa picha studio ni nyumbani kwangu  


kwa kuziona picha hizi vizuri karibu kwenye gallery yetu zaidi ya hapo usisahau kulike ukurasa wetu wa facebook https://www.facebook.com/pages/Light-photo-studio/136259433243570

0 comments: