USIKU WA KANGA ZA KALE

PHOTOGRAPHY : JUSTINE KAZAURA

GRAPHICS DESIGN : ADELINA TIBESIGWA

OUTDOOR EVENT


THEME: USIKU WA KANGA ZA KALE


Usiku wa kanga za kale ni tukio ambalo ilimetukia wiki iliyopita likihusiana hasa hasa  na mitindo mbali mbali ya kanga hicho ndicho nachoweza kuelezenikielezea zaidi na wasi wasi naweza kupoteza maana........, lakini kitu mbacho kimenigusa hadi kuamua "kupost" ni kwa sababu ya picha! nimependa picha jinsi zilivyopigwa ni kwa ufundi mkubwa! jinsi warembo wanavyokuwa kwenye "motion" nayo ni sababu nyingine, kwa hiyo nikaona sio vibaya na wewe mwenzangu uangalie au ujionee mwenyewe picha hizi hapa chini zinafata zinaonesha matukio mbali mbalinaomba "uenjoy"

0 comments: