CHANGES ( mabadiliko)

PHOTOGRAPHY: JUSTINE KAZAURA

MODEL: HALIMA THABITI

DESIGN, REOUCH & COMPOSITION : ADELINA TIBESIGWA

THEME : CHANGES (mabadiliko)

Leo siandikia sana kichwa cha habari kinajielezea lakin
ntakachofanya nikutoa maana ya kwanini nimeamua kutumia maana hii kwenye picha hizi za leo


"changes" au mabadilko kama lugha yetu ya kiswahili inavyotafsiri, mabadiliko ni hatua kutoka katika hali fulani mpaka hali nyingine inaweza kuwa nzuri au mbaya lakini hakuna anayetaka kitu kibaya au hali mbaya hivyo basi, sisi, mimi na wewe tunafanya juhudi tubadilike kwa uzuri haijarishi hali zetu au mazingira yetu yakoje,

kwa picha nyingine nying na zaid tembelea gallery yetu na ukurasa wetu wa facebook https://www.facebook.com/pages/Light-photo-studio/136259433243570

0 comments: