BEAUTY PORTRAIT

PHOTOGRAPHY:  JUSTINE KAZAURA

MODEL & CLIENT : HAPPINESS MAILA

DESIGN & RETOUCH : ADELINA TIBESIGWA

THEME : BEAUTY PORTRAIT

Najua picha za portrait sio rahisi kuzikwepa.... sio kwmaba sizipendi la hasha! nazipenda ila ninacho maanisha ni kwamba zinabeba ujumbe, zinaelezea, zinakua zimebeba "story" zikiwa zinaonesha hisia tofauti tofauti na ndio maana siwezi kuzikwepa na siwezi kuacha kuzitumia

 Portraiti zetu za leo kama jina linavyo jionesha zinaelezea urembo zimebeba story inayoonesha uzuri unaoelezea urembo wa mwanamke unaweza ukaamua kutokana na wewe unavyoona kama ni urembo wa ndani au njee.....  hivyo basi unaweza kuziangalia vizuri kwenye gallery yetu http://lightphotostudio.blogspot.com/p/blog-page_6675.html ili uweze kufanya maamuzi vizuri na pia usisahau kutembelea ukurasa wetu wa facebook https://www.facebook.com/pages/Light-photo-studio/136259433243570

1 comments:

fabrice sendanyoye said...

Beautiful, Elegant and Sublime