SPARKLE

PHOTOGRAPHY : JUSTINE KAZAURA

MODEL: HALIMA THABITI

DESIGN & PHOTO MANIPULATION : ADELINA TIBESIGWA

THEME : "SPARKLE" 
kusema ukweli wiku hii hatukufanya photoshoot yooyote  kutokana na sababu zilizo nje ya uwezo wetu lakin nikasema siwezi kuiacha wiki ipite tu kwa hiyo nimetumia nafasi hii kufanya maunjaja kwa baadhi ya picha za zamani ndo nikjaja na wazo la "sparkle"


Natumaini mme enjoy wazo pia msihauu kutembelea ukurasa wetu wa facebook ili uweze kuona muonekanao mpya https://www.facebook.com/pages/Light-photo-studio/136259433243570 hivyo hivyo kwa picha zaidi karibu kwenye gallery yetu

0 comments: