CHOICES

Photography: Justine Kazaura


Model : Happiness Maila

Design & Photo manipulation : Adelina Tibesigwa

THEME : CHOICES 
 Heri ya mwaka mpya!  umepita muda mrefu sana lakin nashukuruni kwa kuendelea kuwa na mimi na kuendelea kutazama blog yetu...... nimekuwa kimya kwa muda mrefu nikijaribu kuchanganua mambo na mwisho ikanibidi nifanye maamuzi juu ya mambo niliyo ya changanua, na nilichogundua ni kwamba haijarishi we nani na unafanya nini mwisho wa siku inabidi ufanye maamuzi ya maisha yako.......... na hivyo ndivyo nilivyofanya na ndo maana nipo hapa leo na wa "postia" kazi ya mikono yangu kwa mara nyingine tena....... na kwa mara nyingine zaidi usisahau kupitia ukurasa wetu wa facebook https://www.facebook.com/pages/Light-photo-studio/136259433243570 na pia unakaribishwa kuangalia gallery kwa picha nyingi na zaidi na za kila aina http://lightphotostudio.blogspot.com/p/blog-page_6675.html