EPIC BONGO STAR SEARCH

 PHOTOGRAPHY : Justine Kazaura

OUTDOOR EVENT: EPIC BONGO STAR SEARCH

Jumamosi hii tarehe 30/11/2013 kulikuwa na tukio la epic bongo star search na aliyeibuka mshindi mwaka huu ni Emmanuel Msuya na kitita chake cha shilingi milioni hamsin, lakin yote sio hoja , mimi napenda huangalie baadhi ya shots tulizochukuwa wakati wa tukio nazo hizi hapa! Enjoy!