TANZANIA NEXT TOP MODEL 2013

PHOTOGRAPHY: Justine Kazaura

EVENT : TANZANIA NEXT TOP MODEL

Hili n tukio la kumtafuta Mrembo aliye bora kuliko wenzake au kwa lugha tuliyoizoea namaanisha  "top model" wamekuw kambini kwa muda mrefu  na tarehe 06/12/ 2013 ilikuWa mwisho ambapo mshindi alipatikana, lakini nia na madhumuni yangu ya kuongeza ukurasa huu ni kwamba nataka uangalie baadhi ya matukio na "shorts" tulizo ambulia siku hiyo