DONDOO ZA UREMBO

Pata dondoo za urembo kutoka kwa Saada Seif  ambaye ni "Make up artist" wa muda mrefu mwenye uzoefu wa kazai yake na mwenye kuipenda kazi yake  na pia ni mpambaji wa  watu mbalimbali katika matukio tofauti tofauti  kama harusi, kitchen party. na bila kusahau warembo namaanisha "models" ni wewe tu kuamua unataka kutoka vipi.

Saluni yake au mahala pake pa kazi ni Mikocheni mkabala na Mayfair hotel au unaweza kumtumia barua pepe kupitia saadaseif@gmail.com