MWANA MAKUKA 2014

PHOTOGRAPHY : JUSTINE KAZAURA
EVENT : MWANA MAKUKA 2014

Mwana makuka nu umoja wa wanawake unaojishuurisha na kuwainuwa wanawake wengine katioka sekta ya maendeleo na ujasiliamali kigezo inabidi uwe na "idea" we ni mjasiliamali wa aina gani n a kwa kiasi gani unaweza kuelezea wazo lako kwa watu likaeleweka!

Mshindi wa Mwanamakuka mwaka huu anaitwa Leila Mwambungu  ambaye amejishindiaa shilingi za kitanzania milioni tatu, Leila ni mjasiliamli wa kuuza chakula cha kuku kama mfanya biashara wa reja reja lakini mpaka sasa ni mfanya biasha wa jumla wa chakula cha kuku na kama hiyo haitoshi ameweza kuwa wa kala wa gesi na amefanikiwa kuwa ajiri watu wawili na anawalipa mshaara kama kawaida na ana uwezo wa kumsomesha mtoto wake yote hii ni mwana makuaka iliyomwezesha kwa kuanza kuchukua mkopo kutoka kwao! we wasubiri nini?

Bila kusahu wadhamini wao ambao ni airtel kwa miaka mitatu wamekuwa nao bega kwa bega hivyo basi aitel ilitoa  zawadi ya shillingi Milioni tano........ asikwambie mtu Mwanamakuka ni nzuri unawza kutimiza ndoto zako nje nje unachotakiwa ni kuwa makini na kujiamini kwa unachokitaka kufanya ili uweze kupata mkopo unaoutaka kupitia benki ya wanawake Tanzania women's bank... lkini ngoja niishie hapa matukio mengine utayaona kupitia klwa picha hapa chini......