SIKU YA WANAWAKE DUNIANI 2014

PHOTOGRAPHY : JUSTINE KAZAURA

TUKIO : SIKU YA WANAWAKE DUNIANI 2014 ( Diamond Jubilee)


Kwanza kabisa sikuweza kuudhuria kama nilivyokuwa nimepania.......... lakini hakijaharibika kitu make nilikuwa natimiza kauli mbi yetu ya mwaka huu 2014  ambayo ni SIKU YETU, SHUGHULI YETU KWA RAHA ZETU na hii kauli mbiu ntaifata mwaka mzima kwa vile naamimini kila siku tuna mchango katika jamii zetu kwa njia tofauti tofauti..... kwa hiyo Wanawake tupo Juu!

Siku ya wanawake duniani ina adhimishwa tarehe nane mwezi wa tatu kila mwaka lakini naamini mwezi huu mzima ni wa wanawake na ndo maana "Post" yangu naitolea hili kukumbushia. Hapa Tanzania  siku ya wnawake duniani ilifanyika katika ukumbi wa Diamond jubilee  kulikuwa na mambo mengi sana ya kufuraisha, tukianza na watu waliokuwepo, mavazi, urembo, na biashara mbali mbali zilizokuwa zikioneshwa  mambo hayo yote yana uzito wa aina yake, ninacho amini ni kwamba wanawake tunaweza, tuna nguvu kuliko watu wanavyo tuona na bado tunavutia hivyo ni vipaji toka kwa Mungu!......... kama kawaida yangu na mimi kama mwanamke mtarajiwa ni wajibu wangu  kuwaoneha nini kiricho jiri katika siku yetu hiyo katika mwezi wetu huu wa tatu angalia picha

Hii ni SIKU YANGU SHUGHULI YANGU NA KWA RAHA ZANGU